Taqwa Bus carrying 51 passengers coming from Bujumbura to Dar was yesterday night hijacked by robbers in Singida region, and they looted and injured passengers ...
"Basi la Taqwa likiwa na abiria 51 likitokea Bujumbura kuelekea DSM usiku wa kuamkia leo limetekwa na majambazi eneo la Mirade kata ya Igguguno Mkoani Singida.Abiriawamejeruhiwa kwa kupigwahuku pia wakiporwa vitu mbalimbali" (Source: ITV)
No comments:
Post a Comment