Pages

Thursday, 29 August 2013

MAJAMBAZI YALIYOVAA SARE ZA POLISI YAVAMIA HABIB AFRICAN BANK NA KUPORA MAMILIONI



Watu wanaodhaniwa kuwa ni Majambazi ambao wamevalia sare za Jeshi la Polisi wamevamia Habib Afriican Bank Kariakoo DSM na kupora kiasi kikubwa cha Fedha.


 Jeshi la polisi kanda maalum wamethibitisha kutokea kwa tukio hilo..

No comments:

Post a Comment