Picha hii imepigwa muda sio mrefu eneo la Mbande nje kidogo ya Dodoma mjini ...ni ajali mbaya iliyohusisha basi la AL SAEDY Namba T 433 BLR Likitokea Dar es salaam kuelekea Dodoma na LORRY LA MIZIGO NAMBA "T 928 CHR" Lililokuwa likielekea Dar es salaam
Gari Hizo zimeshonana uso kwa uso majiraya usiku huu na vifo vya watu idadi kamili haijajulikana japo Madereva wa gari zotembili na abiria kadhaa wamepoteza maisha miili yao ikiwa imeharibika vibaya.
Taarifa zaidi endelea kuwanasi.

No comments:
Post a Comment