Hii ni habari mbaya kwa Taifa lenye sifa
ya Amani Tanzania watu wake wamegeuka wanyama na kuchukua maamuzi
mikononi.Jana asubuhi bus la kampuni ya Mtei toka Arusha limechomwa moto
maeneo ya Njia panda mnadani singida baada ya bus ilo kugonga pikipiki
yani bodaboda na kuua watu watatu Hapohapo.
No comments:
Post a Comment