YA TANGANYIKA HII HAPA
Katika hali ya kufurahia ujio wa Nchi ya TANGANYIKA iliyokua imepotezwa, sasa Bendera ya iliyokua Tanganyika inapatikana mtaani na wananchi kadhaa wameonekana kutembea mtaani na bendera hiyo. Hii inaonyesha kiu waliyokua nayo WATANGANYIKA

No comments:
Post a Comment