Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dr Wilbrod Slaa, akitoa hotuba ya kufungua Mkutano wa Kimataifa wa Bodi ya Umoja wa Vijana kutoka Vyama vya Kidemokrasia Duniani (IYDU) ulioandaliwa na Baraza la Vijana la chama hicho (BAVICHA). Mkutano huo umeanza leo katika hoteli ya Coral Beach jijini Dar Es Salaam. Picha kwa hisani ya HUDUGU Mjengwa Blog.
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la CHADEMA (BAVICHA), Bwana John Heche, akitoa hotuba ya ukaribisho katika ufunguzi wa mkutano wa kimataifa wa Vijana kutoka vyama vya kidemokrasia duniani (IYDU)
Mwenyekiti wa IYDU, Ndugu Aris Kalafatis, akitoa hotuba ya kufungua mkutano wa kimataifa wa umoja huo ulioanza leo jijini Dar Es Salaam katika hoteli ya Coral Beach.
Mwakilishi Mkazi wa Shirilka la KAS, Ndugu Stefan Reith, akitoa salamu za shirika hilo wakati wa ufunguzi wa mkutano wa IYDU leo.
Baadhi ya wajumbe wanaohudhuria mkutano wa IYDU ulioanza leo jijini Dar Es Salaam
No comments:
Post a Comment