Kufuatia kupigwa risasi kwa mfanyakazi wa
Tanzanite one William Onesmo Mushi na kufariki papo hapo serikali
kupitia wizara ya nishati na madini imefunga migodi minne inayozunguka
eneo hilo kwa muda usiojulikana ili kupisha uchunguzi.
Jeshi la
polisi mkoa wa Manyara linamshikilia Chusa kwa mahojiano kuhusiana na
tuhuma za kudaiwa kuhusikana kifo cha Mushi usiku wa kuamkia Julai 20
mwaka huu.
No comments:
Post a Comment