Pages

Monday, 22 July 2013

'Nutrition is my responsibility' Hayo ni maneno ya afisa ufuatiliaji na tathmini wa Mradi wa Mwanzo Bora huko Dodoma bi Esther Kalage. Alisema 'together we can reduce stunting and maternal anemia' Kauli hizo ziliungwa mkono na afisa lishe bi Dorores Msimbira pamoja na Deus Ngerangera ambaye ni afisa ufuatiliaji na tathmini Mwanzo bora mkoa wa Morogoro.
Kwa upand wa serikali bwana Robert Sungura ambaye ni afisa maendeleo ya jamii wilaya ya kondoa alituma ujumbe kuipongeza Africare na Mwanzo bora kwa ujumla akisema'Hongereni sana, udumavu, upungufu wa wekundu wa damu, madini joto na ukosefu wa vitamin A kwa heri. Hii inaonyesha kazi kubwa inayofanywa na Mradi wa Mwanzo bora ktk kutokomeza udumavu kwa watoto na upungufu wa damu kwa wajawazito.
Pichani ni akina mama wanapoadhimisha campaign ya siku elfu za mtoto tangu kutungwa Mimba huko Dodoma

No comments:

Post a Comment